Taasisi ya Usomaji na Maendeleo—Soma kwa ushirikiano na Commonwealth Writers na English PEN wanapenda kuwaalika waandishi na wafasiri wabunifu kutuma maombi ya kushiriki kwenye Warsha ya Ufasiri wa Fasihi ya Kiswahili – Kiingereza, itakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Tarehe 7/11/2016 hadi Tarehe 11/11/2016. Warsha itaongozwa na Richard […]